Elections 2010 Naomba kujua matokeo ya kituo cha Mlimani

Isimilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
217
Reaction score
7
Wadau naomba ambaye ana full data za pale mlimani naomba anijulishe, kwani ndo nimepiga kura yangu hapo. nataka kujua impact na Sacrifice ya wenzetu waliotoka mikoani kuja kupiga kura pale mlimani ilikua vipi. Nataka nijua poll results za hicho kituo peke yake
 
Hiki ni kipimo cha kuwa Dr.Slaa ndo rahisi mkuu maana wasomi wanamkubali

Kituo cha DARUSO matokeo yalikuwa hivi

Dr. Slaa 454

Jaka 71 ( Chali vibaya mno hata kama amegoma kufungua vyuo)

Myika 473
Ngumbi 45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…