NAOMBA KUJUA MATUMIZI MAZURI YA PIKIPIKI ILI IDUMU KWA MUDA MREFU NA KAMPUNI GANI ILIYO BORA ZAIDI

NAOMBA KUJUA MATUMIZI MAZURI YA PIKIPIKI ILI IDUMU KWA MUDA MREFU NA KAMPUNI GANI ILIYO BORA ZAIDI

Matumizi mazuri ni kuzima na kuwasha tu ikiwa ndani,,, na ili idumu zaidi uwe unaifuta futa na kitamba kikavu na kisafi pia hakikisha unaiosha kila ikipata vumbi ila usiitembelee kabisa!

Alamsiki.
 
Kwanza wakati wa kununua, hakikisha unawaomba wale mafundi wanaokuwa hapo dukani wawe wawazi kwako kama kweli ile pikipiki vifaa vyote mle ndani ni original au wamebadilisha.

Kuna tabia ya hao waajiriwa kuuza pikipiki kwenye maduka, wanaongea na wenye pikipiki, kwa hiyo wanatoa vifaa original vilivyokuja na pikipiki ambavyo ni imara, wanawauzia halafu wana replace na vifaa bandia.

Pia matumizi mazuri hakikisha kuwa unaipeleke service mara kwa mara hata kama hujahisi tatizo
 
Matumizi mazuri ni kuzima na kuwasha tu ikiwa ndani,,, na ili idumu zaidi uwe unaifuta futa na kitamba kikavu na kisafi pia hakikisha unaiosha kila ikipata vumbi ila usiitembelee kabisa!

Alamsiki.
😀😀😀😀😀 du!
 
pikipiki nzuri ni kinglion ule mkasi wa nyuma nahisi ni chuma cha pua haupindi kirahisi
 
Back
Top Bottom