Kwanza wakati wa kununua, hakikisha unawaomba wale mafundi wanaokuwa hapo dukani wawe wawazi kwako kama kweli ile pikipiki vifaa vyote mle ndani ni original au wamebadilisha.
Kuna tabia ya hao waajiriwa kuuza pikipiki kwenye maduka, wanaongea na wenye pikipiki, kwa hiyo wanatoa vifaa original vilivyokuja na pikipiki ambavyo ni imara, wanawauzia halafu wana replace na vifaa bandia.
Pia matumizi mazuri hakikisha kuwa unaipeleke service mara kwa mara hata kama hujahisi tatizo