Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Jun 22, 2024 #1 Wakuu habari yenu. Naamini wapo wajuzi na maafisa tofauti wenye uelewa wa haya mambo naomba kutambua mikopo kwa wakulima itolewayo pamoja na vigezo na masharti yake. Hapa nitaomba kujua dhamana na riba yake pamoja na marejesho. Nawasilisha kwenu
Wakuu habari yenu. Naamini wapo wajuzi na maafisa tofauti wenye uelewa wa haya mambo naomba kutambua mikopo kwa wakulima itolewayo pamoja na vigezo na masharti yake. Hapa nitaomba kujua dhamana na riba yake pamoja na marejesho. Nawasilisha kwenu
Ceei New Member Joined Jun 8, 2024 Posts 2 Reaction score 3 Jun 22, 2024 #2 Sina taarifa sana ila afdb nadhani wanatoa.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Jun 22, 2024 #3 Nami napenda kujua
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 22, 2024 #4 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,730 Reaction score 6,736 Jun 23, 2024 #5 Sina taarifa za kujitosheleza lakini NMB, CRDB na TADB wana madirisha ya mikopo kwa wakulima.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Jun 23, 2024 Thread starter #6 Nyaka-One said: Sina taarifa za kujitosheleza lakini NMB, CRDB na TADB wana madirisha ya mikopo kwa wakulima. Click to expand... Nilitamani kujua baadhi ya mambo hapa kabla sijasogea dirishani
Nyaka-One said: Sina taarifa za kujitosheleza lakini NMB, CRDB na TADB wana madirisha ya mikopo kwa wakulima. Click to expand... Nilitamani kujua baadhi ya mambo hapa kabla sijasogea dirishani