Naomba kujua namna Bora ya kuchagua Harrier 240 G

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Wadau naomba Msaada.Nataka kununua Harrier 240G ya Mwaka 2006/2007 he nitumie Mbinu gani kupata Gari nzuri na IMARA?

Je, kampuni gani hapa Dar inaagiza Magari hayo Imara?
 
Njoo nikusaidie kuitafuta gari nzuri, tumia SBT Tanzania.Kuna mtu wao wa sales kule Japan huwa tunamtumia kuagiza gari,boti. Utachagua Kisha gari itakuwa reserved mpaka utapo andaliwa Invoice Kisha utalipia mwenyewe huku, gari itafanyiwa inspection kule na booking ya meli kisha kupakiwa kuja bandari salama.

Hapa wiki zilizopita nimemsaidia Jamaa yangu tulitafuta Harrier ya 2006. Kwenye machaguo alipata mbili zenye low mileage ya 53,000km na 40,000km imelipiwa ya 40K km kwa USD 6450 kutoka 7150 baada ya negotiation za kidiplomasia.
 
mkuu hapo ikifika mpka inatua mkononi mwake aandaee ngapi pembeni(TRA,e.t.c)

naomba kujua mkuu
 
Karibu Be forward, kuna machaguo mengi ya kila namna.

Karibu uagize kutoka be forward kupitia EAPGS, UWEZE KUFAIDIKA PIA NA HUDUMA NZURI YA FINANCE ( IKIWA BUDGET YAKO ITAKUA CHINI HIVYO KUTOKUKIDHI GHARAMA ZA USHURU )

BILA RIBA SASA!!
 
Back
Top Bottom