Njoo nikusaidie kuitafuta gari nzuri, tumia SBT Tanzania.Kuna mtu wao wa sales kule Japan huwa tunamtumia kuagiza gari,boti. Utachagua Kisha gari itakuwa reserved mpaka utapo andaliwa Invoice Kisha utalipia mwenyewe huku, gari itafanyiwa inspection kule na booking ya meli kisha kupakiwa kuja bandari salama.
Hapa wiki zilizopita nimemsaidia Jamaa yangu tulitafuta Harrier ya 2006. Kwenye machaguo alipata mbili zenye low mileage ya 53,000km na 40,000km imelipiwa ya 40K km kwa USD 6450 kutoka 7150 baada ya negotiation za kidiplomasia.