Naomba kujua namna NGOs zinavyoweza kufanikisha kupata pesa kwa kutimiza majukumu yake

Supervision

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
265
Reaction score
203
Habari wadau,

Huwa nawaza sana kuanzisha NGO lakini shida ni kwamba nashindwa kuelewa namna ambavyo ntaweza kuisaidia jamii nikiwa nimekwisha maliza usajiri wa NGOs sasa sijajua ni namna gani naweza kuwa supported na watu wengine.

Nawasilisha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…