Naomba kujua namna ya kujiunga NIT

Naomba kujua namna ya kujiunga NIT

msamila 2

Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
20
Reaction score
18
Wadau habari za majukumu naomba mwenye uelewa kuhusu utaratibu wa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT.
 
Karibu NIT

logo.png


Ngazi ya Diploma au Degree au Short Course?

Kama Diploma na Degree, utasubiria mamlaka husika (NACTVET na TCU) watangaze ufunguzi wa dirisha la Application kisha utaomba kupitia kwenye website yao www.nit.ac.tz

Kwasasa, dirisha la Application za certificate na diploma lipo wazi. Tafadhali, tembelea website tajwa, uone courses zinazotolewa na vigezo, ujipime na ufahuru wako.

f8897dac63f0429dbd09cf63c2a8aa58.jpg

Kwa maelezo zaidi, ungeenda pale chuoni au wasiliana na ofisi za Admissions kupitia namba zao utakazozipata kwenye website.
images (7).jpeg



5a660cbc344046edacb52fb5d4e2ee67.jpg



PS: NIT wanipe cheo cha PR si ndio?
 
Back
Top Bottom