Kama Diploma na Degree, utasubiria mamlaka husika (NACTVET na TCU) watangaze ufunguzi wa dirisha la Application kisha utaomba kupitia kwenye website yao www.nit.ac.tz
Kwasasa, dirisha la Application za certificate na diploma lipo wazi. Tafadhali, tembelea website tajwa, uone courses zinazotolewa na vigezo, ujipime na ufahuru wako.
Kwa maelezo zaidi, ungeenda pale chuoni au wasiliana na ofisi za Admissions kupitia namba zao utakazozipata kwenye website.