Naomba kujua namna ya kupata leseni ya kuendesha magari Daraja C

Naomba kujua namna ya kupata leseni ya kuendesha magari Daraja C

Nkulu wa nchito

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,112
Reaction score
1,429
Habari wana jf,

Nina swali hivi ukitaka kupata Leseni ya gari Class C kwa mtu ambae hana hata leseni yaani akaenda tu veta na moja kwa moja akapata leseni class C kwasababu nasikia mpaka usubiri baada ya miaka kadhaa ndiyo unapanda daraja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kwani hata mie nilivyoenda kusomea udereva,nilivyomaliza wakati wa kukata leseni nikaambiwa tukujazie madaraja yote ama vipi ilibidi tu nikatae ila inawezekana we nenda ukasome tu
 
Back
Top Bottom