Hapo Biashara nzuri tengeza Supu,iwe ya mapupu,kichwa Cha Ng'ombe au miguu ya mbuzi.
Unauza cheaper kuliko uliowakuta, maana naamini wapo. Unaweka ya 1000 na ya 500.
Unauza pia hapo Ndizi za mchemsho za bei rahisi.
Biashara nyingine inategemea na Imani yako, kama ni mkristo nenda machinjio ya ๐ asubuhi, Kuna nyama nyingi za bei rahisi. Ulimi, masikio, mkia, maini, maziwa na nyama nyingine za ndani. Vinauzwa hapo Bei rahisi.
Unakata vipande vya 1000 na 2000.Unakaanga na Ndizi,usisahau Kachumbari na chachandu yenye pilipili nyingi.Utawakamata.
Kama ni lifeist na unataka Hela ya maana,na hapo ni kwako na una kauwanja kidogo.Pia kama huo mtaa wa ubanda umechangamka na Kuna movement,Tengeneza vyumba vya kupangisha visiwe vikubwa sana.
Weka kitanda 4ร6, Nenda mtaa mrefu Mtafute dada Mkubwa wa hapo mwambie una vyumba unahitaji watu wa kazi. Atakuletea, maana supply ni kubwa kuliko demand.
Minimum utakunja 15000 daily Kila chumba.Kula vizuri na watu tu.
Nimemaliza..๐๐พ.