Sijui. Ila hujasoma/kusikia Taarifa za Utekelezaji wa Sera hii. Mimi siamini unachosema. Mimi nataka nijue Viwanda Mkoani Singida!Kama serikali ya CCM imeshindwa kuweka matundu ya choo katika shule za msingi na sekondari , hivyo viwanda vinatokea wapi? Au vya ndotoni?
Mh ,Wapi Maendeleo mapya ni Ile Barbershop😉Kitusha Njia panda
Cha kwanza Ni kiwanda cha uongo Cha Chadema kilichoko singida kinachojulikana kama Tundu Lisu Lying Industry LtdSijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe hivi ndio viwanda vya magufuli. Basi kweli vimefika 3000+. Vipi ajira hamna hapo Lumumba Umbea Processing Ltd?Cha kwanza Ni kiwanda cha uongo Cha Chadema kilichoko singida kinachojulikana kama Tundu Lisu Lying Industry Ltd
Kikifuatiwa na kiwanda cha kuchakata chupi za makadaCha kwanza Ni kiwanda cha uongo Cha Chadema kilichoko singida kinachojulikana kama Tundu Lisu Lying Industry Ltd
Mbeya aliomba ajengewe kiwanda cha kusuguliwaKiwanda siyo lazima kiwe kikubwa kama unavyowaza. Hata cha alizeti pia