gari inatoa moshi mweupe?Habari za wakati huu wakuu!
Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil mfano kwa wiki tatu unaweza kuongeza oil mara moja na hakuna leakage yoyote.
Na nini kifanyike ili kuzuia tatizo hili?
Ya mwaka gani, na je muda wa kubadilisha engine oil umefika?Gari inanguvu fresh kabsa na inatoa moshi wa kawaida mkuu, ni bmw 3 series
Kama hamna leakage mahali.. basi hio Oil inaunguzwa pamoja na mafuta... Piston ringi za kuangalia hizo... kuna chances gari yako inatoa moshi wenye weusi angalia vizuriHabari za wakati huu wakuu!
Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil mfano kwa wiki tatu unaweza kuongeza oil mara moja na hakuna leakage yoyote.
Na nini kifanyike ili kuzuia tatizo hili?