Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 705
Shukrani kaka, ushuri wako ni wamaana sana kwangu. Ahsante nitalizingatia hilo.ila ungeweka na Lorry ungewakamata kweli kweli. Tanzania ya viwanda inakuja kwa hiyo sekta ya usafirishaji itakuwa dili baadae(ndoto)
Wenye utaalamu watakueleza
Nenda kwa wafuatao;Wana JF naomba kufahamishwa taratibu za kufuata kuanzisha shule ya kufundisha madereva(Driving School) hapa nchi. Kama ifuatavyo.
1. Ni mamlaka gani inatoa usajiri
2. Idadi ya chini ya magari yanayohitajika kuanzisha shule.
3. Gharama za malipo ili kupata usajiri
4. Mengineyo muhimu ili kupata usajiri wa driving school.
Natanguliza shukrani zangu kwenu wana JF watukuka.