Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?


Hata udi unafanya nyumba inanukia vizuri sana
 
Mkuu ungeuliza tu, au nenda siku nyingine waambie dhumuni hasa la kukupeleka pale mara ya pili, uje utupe mrejesho.
 
Kuna mashine za automatic air fresheners zinazotumia umeme au betri
 
Reactions: sho
Wanatumia airfreshna mishumaa,ingawaje pia kwa mtu mwenye allaergy au pumu inaweza msumbua.
 
Nunua udi tu tatizo wabara hawajui manukato si mke wala mume
Maudi yanafanya hewa kuwa nzito! Mnayaweza wenyewe. Nilienda sehemu nilimshangaa mwenyeji anaishije kwenye hewa nzito kama ile!
 
Mkuu air freshener pekee haifanyi nyumba kunukia kihivyo. Wengi hutumia vyetezo na kuchomea kwa manukato ya kiarabu nenda kwenye maduka ya kiarabu ulizia utazipata. Kwenye gari mimi hutumia air freshener za kijapan inaitwa JDM.

Nielekeze nitaipata wapi na bei elekezi. Nipo Dar.
 
Nini udi au jdm(air freshener ya gari)?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Air fresher ya gari ndugu. Nina gari ndogo.
Jamaa alikua anatumia hii fresher nimeipiga picha. Tatizo haipo sinza kote.

 
Nikiwa mwakilishi wa nyumba zinazonuka nimetumwa niulize kama turaruhusiwa kuweka comment zetu mwishoni mwa uzi
 
Lengo la kutaka nyumba kunukia (tofauti na uhalisia wake) huwa ni nini? Je ni kuficha harufu mbaya(ya uchafu)? Kama kuna uchafu unatoa harufu mbaya si ni bora kuutoa huo uchafu?
Ujinga
 
Reactions: SMU
Nitakuja kukutembelea mkuu[emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…