Aman kwenu
Naomba kujua online TV itakayo onesha hii mechi
Aman kwenu
Naomba kujua online TV itakayo onesha hii mechi
Nenda kwenye browser andika hesgoal.com hapo ndo nyumbani mipira yoteAman kwenu
Naomba kujua online TV itakayo onesha hii mechi
Samahan picha ya huyu dada hapo inapatikana hapo hsegoal?Nenda kwenye browser andika hesgoal.com hapo ndo nyumbani mipira yoteView attachment 945234View attachment 945235View attachment 945236View attachment 945237
Hahahah kwenye keyboard mkuuSamahan picha ya huyu dada hapo inapatikana hapo hsegoal?
Hahahah kwenye keyboard mkuu
Shemej yako mkuuKama ni mdogo wako tutakuwa washkaj very soon ila kama shemeji basi hongera
Hongera Mkuu hyo ni hazina ya taifa itunze idumuShemej yako mkuu