Kama unakula na chips
Chukua prawns wamenye halafu watoe utumbo na uwaoshe
Weka frampeni jikoni halafu weka mafuta kias yakishapata moto weka prawns
Anza kuwakaanga kidogo halafu weka vitunguu ulivyovikata vidogovidogo style( chopchop
Vikishaiva weka vitunguu saumu ulivyovitwanga na endelea kukoroga
Weka chumvi kidogo,aginamoto kidogo na pilipili hoho ulizokata cubes ndogondogo endelea kukoroga
Weka mama sita( inapatikana supermarket) iko kama soya sauce sema yenyewe ni nzito,weka kiac
Koroga kidogo na usave na chips au ndizi au waweza kula na kachumbariii