Ashraf2020
Member
- Apr 1, 2025
- 6
- 4
Mh CPA anajitolea? Hapo connection n kweli🤣🤣🤣🤣
Ndugu ngoja kwanza u face reality ndo utanielewa kicheko changu
Siku hizi hadi CPA wanajitolea bure ndugu
Wewe na hilo kasha lako unaulizia mshahara?ha ha ha 🤣🤣
Graduate,fresh from school,kama huna connection ya nguvu hutoboi
Nikipata chance, na imani nitaongeza tija muhimu kwenye kampuni kwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kampuni wanavotaka.Unataka mshahara mkubwa ,wewe binafsi utaongeza tija gani kwenye hiyo kampuni?
😀Natamani tu kujua. Nikijua gross salary ndo nitawaza kutafuta connection tajiri🤣🤣🤣🤣
Ndugu ngoja kwanza u face reality ndo utanielewa kicheko changu
Siku hizi hadi CPA wanajitolea bure ndugu
Wewe na hilo kasha lako unaulizia mshahara?ha ha ha 🤣🤣
Graduate,fresh from school,kama huna connection ya nguvu hutoboi
Ujuzi kama upi ndugu naomba ushauri wako Monetary doctorTafuta ujuzi kwanza,
Ikiwa na ujuzi kwa kiwango kizuri kitakupa kutaka hiyo mishahara mikubwa,
Kwenye kozi uliyosomea au nje ya hapo kama ni relatedUjuzi kama upi ndugu naomba ushauri wako Monetary doctor
Yes boss sio lazima course niliyosomea hata related oneKwenye kozi uliyosomea au nje ya hapo kama ni related
Ufanisi sio? Kuna kampuni ya ku-massage wanaume, nikukonekti? JokingNikipata chance, na imani nitaongeza tija muhimu kwenye kampuni kwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kampuni wanavotaka.
Asante Ndugu yangu
Ukizipata ziorodheshe hapa kwa maslahi ya wote mkuu.Habari za Jioni, Ndugu zangu. Naomba majibu mazuri ndugu zangu. Nimemaliza Bachelor of Business Administration in Accounting. Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa mishahara mikubwa kwa Internship students. Nitashukuru kwa majibu yenu Mazuri.