Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Heri ya xmass na mwaka mpay.
naomba kujua mazao yatokanayo na muwa i mean ukiacha sukari na pombe ni bidhaa gani nyingine yawezwa kutengenezwa kutokana na miwa?
asanteni.