Naomba kujua Products zinazotokana na zao la muwa

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Heri ya xmass na mwaka mpay.

naomba kujua mazao yatokanayo na muwa i mean ukiacha sukari na pombe ni bidhaa gani nyingine yawezwa kutengenezwa kutokana na miwa?

asanteni.
 
Sukari guru (sijui inaitwa hivyo?) na molasses pia bagasse zinatumika kuzalisha umeme (biomass energy).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…