Kama heading inavyojieleza wadau nimetafuta ratiba ya maonesho yote ya biashara hapa Tanzania kwa mwaka 2019 ila nimekosa.
sasa naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu anijulishe au nipeni list hapa.
Mwaka huu nataka jijipange kutangaza product zangu kwa asilimia 80%.
Naombeni msaada wenu tafadhali.