Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Ukikopa 50 unatakiwa kurudisha 57 for 21 daysHabari
Kichwa cha uzi cha husika
Natanguliza shukurani
[emoji1431]Ukikopa 50 unatakiwa kurudisha 57 for 21 days
Kwanini mkuuNimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..
Nimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..Kwanini mkuu
Just jokeKwanini mkuu
Acha kutuenjoy bossNimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..
[emoji1360]Just joke
Ingawa riba iko juuInaniokoa balaa hii kitu
Vipi inapungua kama nikipunguza idadi ya siku,, mfano nikihitaji kurejesha baada ya siku 7Ukikopa 50 unatakiwa kurudisha 57 for 21 days
NdioVipi inapungua kama nikipunguza idadi ya siku,, mfano nikihitaji kurejesha baada ya siku 7
Nafanyeje nikope inaniambia sikidhi vigezo why please helpUkikopa 50 unatakiwa kurudisha 57 for 21 days
Ukipata hamu nakukopesha mimi kupitia hamu zakoNafanyeje nikope inaniambia sikidhi vigezo why please help
kama unadaiwa na mitandao ya simu na haujalipa kwa wakati basi sahau huo mkopo wa NMBNafanyeje nikope inaniambia sikidhi vigezo why please help
Kuna account ambazo ni maalum kwa ajili ya kupewa mikopo ya chap chap kama business na personal account wenye account zile za utegemezi kama mwanachuo account hawapo kwenye hii huduma labda mpaka uende kubadilisha kwenda kwenye personal account kama nlivyofanya mimi mwaka jana.Nafanyeje nikope inaniambia sikidhi vigezo why please help