Naomba kujua sababu na dawa ya majani ya nyanya kukauka

Naomba kujua sababu na dawa ya majani ya nyanya kukauka

copyright

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
584
Reaction score
584
Wakuu poleni kwa majukumu.

Naomba kujua sababu na tiba ya nyanya ambazo ziko shambani zimeanza kutoa matunda lakini majani ya chini yanakauka. Shida itakuwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanakaukaje? Toa maelezo ya kukauka huko. Yaweza kuwa late bright au early bright au tatizo jingine. Dawa nyingi madukani zenye viambata kama mancozeb, metalaxyl, copper oxichloride, propineb, chlorathalonil, n.k zinasaidia kupunguza kasi ya kuenea kwa ugonjwa ila kudhibiti tatizo kabisa haiwezekani hasa kama hali ya hewa ina-support kukua kwa kuvu.
 
Back
Top Bottom