Yanakaukaje? Toa maelezo ya kukauka huko. Yaweza kuwa late bright au early bright au tatizo jingine. Dawa nyingi madukani zenye viambata kama mancozeb, metalaxyl, copper oxichloride, propineb, chlorathalonil, n.k zinasaidia kupunguza kasi ya kuenea kwa ugonjwa ila kudhibiti tatizo kabisa haiwezekani hasa kama hali ya hewa ina-support kukua kwa kuvu.