Naomba kujua sababu za kupata mvi ukiwa na umri mdogo

chrlsstphn

Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
6
Reaction score
2
Habari ya wakati huu wanajamvi

Naomba kujua chanzo cha kupata mvi kwa kijana (25-30 years) na pia jinsi gani ya kuondokana na tatizo hili

Naomba kuwasilisha
 
Sababu zipo,pamoja na
-uzee..
-Kuna mvi za ukoo ( kurithi) hata ukiwa mdogo tu unazo
-Kuna mvi za umri kwenda
-kuna mvi zinazoletwa na kuvurugwa,stress,mawazo nk, hizi hupatikana kwa asilimia kubwa sana.
Najaribu kupata sababu tu, ila sio mtaalam LoL

All in all,mvi sio ugonjwa.
Sometimes zinakupa heshima
 
Habari ya wakati huu wanajamvi...

Naomba kujua chanzo cha kupata mvi kwa kijana (25-30 years) na pia jinsi gani ya kuondokana na tatizo hili

Naomba kuwasilisha
brother kubali tu hali, mbona mimi nina 23yrs na nina upaa na mvi za kutosha tu, ww mvi tu nd unaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…