Sijakusoma mkuuuNaongeza R.score mkuu....
Unaenda kulima hekari ngapi? Make unaweza kuta ni heka 5 ndio zinakupeleka Ngara,Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa.
Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu.
Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo.
Naomba msaada kujua sehemu gani ndan ya wilaya ya ngara naweza kuwekeza kilimo.
Kwa kunitajia kata au hata Kijiji ilinikapate shamban kwa ajili ya kilimo.
Eid Mubarak!
Warundi wanapiga kazi kuliko aina ya raia yeyote Tanzania, ukitaka kuwajua vizuri waone wale wa Kagera Sugar.Ngara panafaa. Ukifika ngara,kuwa kama unashuka kwenda rusumo. Ukishamaliza kuteremka mteremko mkali wa kijiji cha murukulazo just like 500m to murunyinya kuna kibarabara kinakata kushoto. Ingia nacho utafika kwenye mabonde yenye rutuba ya mto kagera. Ulizia kijiji kinachoitwa KIBOCHO. Utayakuta mashamba mengi sana. Anza kutafutia hapo.
NB.. Kuna cheap labour ya warundi na wahangaza.
Asante sanaaNgara panafaa. Ukifika ngara,kuwa kama unashuka kwenda rusumo. Ukishamaliza kuteremka mteremko mkali wa kijiji cha murukulazo just like 500m to murunyinya kuna kibarabara kinakata kushoto. Ingia nacho utafika kwenye mabonde yenye rutuba ya mto kagera. Ulizia kijiji kinachoitwa KIBOCHO. Utayakuta mashamba mengi sana. Anza kutafutia hapo.
NB.. Kuna cheap labour ya warundi na wahangaza.
Na mpango WA kuanza na hizi Tano. Lakn tageti ni kupata shamba la kununua piaUnaenda kulima hekari ngapi? Make unaweza kuta ni heka 5 ndio zinakupeleka Ngara,
Ila changamoto ni kusafirisha mazao kutoka humo mabondeniAsante sanaa