Habari wadau!
Bei za vitenge Kariakoo (java) wanauza 16,000/= - 18,000/= sometimes hivi wao watakuwa wanachukuwa kwa shilingi ngapi?
Kama kuna mtu mwenye uzoefu naomba anielekeze au hata kama ni kuagiza nje naomba kuelekezwa pia procedures za kufata jinsi ya kuagiza ili atleast nipate kwa bei wanayochukulia.
Akhsante
Sent using Jamii Forums mobile app