Shukran mkuu ngoja niutafte km ntaupataKuna machimbo yao boss, shida ni kuyajua
Kuna uzi ulikuwa unatrend huku ungeupita usingekosa pa kuanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtaa fulani mnazi mmoja Kama unaelekea kisutu naonaga maduka mengi ya vitengeHabari wadau!
Bei za vitenge Kariakoo (java) wanauza 16,000/= - 18,000/= sometimes hivi wao watakuwa wanachukuwa kwa shilingi ngapi?
Kama kuna mtu mwenye uzoefu naomba anielekeze au hata kama ni kuagiza nje naomba kuelekezwa pia procedures za kufata jinsi ya kuagiza ili atleast nipate kwa bei wanayochukulia.
Akhsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaagiza kutoka burundiHabari wadau!
Bei za vitenge Kariakoo (java) wanauza 16,000/= - 18,000/= sometimes hivi wao watakuwa wanachukuwa kwa shilingi ngapi?
Kama kuna mtu mwenye uzoefu naomba anielekeze au hata kama ni kuagiza nje naomba kuelekezwa pia procedures za kufata jinsi ya kuagiza ili atleast nipate kwa bei wanayochukulia.
Akhsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna machimbo yao boss, shida ni kuyajua
Kuna uzi ulikuwa unatrend huku ungeupita usingekosa pa kuanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau!