Naomba kujua sehemu ya kujifunza lugha ya Kichina na Kifaransa

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Nahitaji kujifunza lugha hizo mbili (in a formal way) kwa wakati mmoja. Dar es salaam. Ratiba isiwe ya kunibana sana.

Wapi nitapata huduma hii kwa uhakika zaidi?
 
bon apres mid monsieur! (bonapre modi mesie) - hqbari ya mchana mkuu?
comment allez vous?- koma ntale vu-haujambo?

anzia hapo kwenye kifaramsa mzee, ukinogewa sema neno la faraja tuendelee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji kujifunza lugha hizo mbili (in a formal way) kwa wakati mmoja. Dar es salaam. Ratiba isiwe ya kunibana sana.

Wapi nitapata huduma hii kwa uhakika zaidi?
Alliance Française wako vizuri sana... Hutojutia pesa yako
 
Nahitaji kujifunza lugha hizo mbili (in a formal way) kwa wakati mmoja. Dar es salaam. Ratiba isiwe ya kunibana sana.

Wapi nitapata huduma hii kwa uhakika zaidi?
Mm ni mwalimu kabisa wa français shuleni tunafundisha français darasa la kwanza mpaka kidato cha nne ila kichina sikijui ( location Dar city )
 
Mkishasoma hayo maluga ukienda bar ukilewa ukaanza kuongea watasema umepandisha mapepo....

.昨天八点五十五分我在喝咖啡呢。九点我去图书馆了。一点十五分我吃下午饭。一点二十五我学中国汉语。五点我去开来家了。八点我去睡觉。谢谢
Yesterday at 8:55 I drink coffee. 9:00am I went to library. 1:15 I eat lunch. 1:25 I learn Chinese language. 5:00 I drive back home. 8:00 I go to sleep. Thank you.
 
Mkishasoma hayo maluga ukienda bar ukilewa ukaanza kuongea watasema umepandisha mapepo....

.昨天八点五十五分我在喝咖啡呢。九点我去图书馆了。一点十五分我吃下午饭。一点二十五我学中国汉语。五点我家了。八点我去睡觉。谢谢
Yesterday at 8:55 I drink coffee. 9:00am I went to library. 1:15 I eat lunch. 1:25 I learn Chinese language. 5:00 I drive back home. 8:00 I go to sleep. Thank you.
Kama ilivyo katika Kiingereza, Kichina hutumia 上午(am) na下午(pm) kutofautisha wakati. 上午八点 ni 8am au tuseme saa 2 asubuhi, 下午八点 ni 8pm au saa 2 jioni(usiku). Kwa hivyo, bora ukitumia njia hiyo ili kuepuka makosa.
Aidha, sisi hatusemi 下午饭 bali ni 中午饭 kuongea kuhusu chakula cha mchana. 中国汉语 maana yake ni "Kichina cha China", 汉语 ni Kichina tu, hakuna haja kutumia “中国” mbele ya 汉语。 回 inamaanisha kurudi. Kama ukitaka kusema kuendesha kuelekea nyumbani, ni bora ukisema 我开车(gari)回家了。
 
Sasa hicho kichina unatamkaje mkuu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Dogo uko vizuri

Back
Top Bottom