Naomba kujua sehemu ya kupata amira (wine yeast)

Naomba kujua sehemu ya kupata amira (wine yeast)

MLALE

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
217
Reaction score
420
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naomba mdau yeyote anayejua sehemu ninayoweza kupata amira (yeast) ya kutengenezea wine anisaidie.

Au mwenye kujua ingredients inayoweza kuwa ni mbadala wa yeast anisaidie tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama bado hujapata unaweza tumia baking yeast nayo pia inaweza tumika ila itabidi wine ikae zaidi ya miezi 3 kabla hujaitumi/kunywa wine yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom