MLALE JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 217 Reaction score 420 Jan 22, 2020 #1 Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naomba mdau yeyote anayejua sehemu ninayoweza kupata amira (yeast) ya kutengenezea wine anisaidie. Au mwenye kujua ingredients inayoweza kuwa ni mbadala wa yeast anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naomba mdau yeyote anayejua sehemu ninayoweza kupata amira (yeast) ya kutengenezea wine anisaidie. Au mwenye kujua ingredients inayoweza kuwa ni mbadala wa yeast anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Apr 26, 2020 #2 Kama bado hujapata unaweza tumia baking yeast nayo pia inaweza tumika ila itabidi wine ikae zaidi ya miezi 3 kabla hujaitumi/kunywa wine yako Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado hujapata unaweza tumia baking yeast nayo pia inaweza tumika ila itabidi wine ikae zaidi ya miezi 3 kabla hujaitumi/kunywa wine yako Sent using Jamii Forums mobile app