Naomba kujua shule bora ya Serikali kwa CBG iliyopo Mwanza

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani.

Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa wa Mwanza?

Asanteni.
 
Ingia nectar form 6 mwaka jana angalia shule yenye matokeo mazuri kutoka mwanza
 
Jinsia gani? Km ni Me bas ni Bwiru boys au Nsumba.
Km ni ke bas ni Bwiru girls au Nganza.
 
Back
Top Bottom