KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Jun 9, 2024 #1 Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani. Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa wa Mwanza? Asanteni.
Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani. Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa wa Mwanza? Asanteni.
Mhakiki JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 2,385 Reaction score 2,101 Jun 16, 2024 #2 KAGAMEE said: Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani. Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa wa Mwanza? Asanteni. Click to expand... Ingia nectar form 6 mwaka jana angalia shule yenye matokeo mazuri kutoka mwanza
KAGAMEE said: Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani. Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa wa Mwanza? Asanteni. Click to expand... Ingia nectar form 6 mwaka jana angalia shule yenye matokeo mazuri kutoka mwanza
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Jun 16, 2024 Thread starter #3 Mhakiki said: Ingia nectar form 6 mwaka jana angalia shule yenye matokeo mazuri kutoka mwanza Click to expand... Asante boss
Mhakiki said: Ingia nectar form 6 mwaka jana angalia shule yenye matokeo mazuri kutoka mwanza Click to expand... Asante boss
Artificial Horizon JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 432 Reaction score 977 Jun 17, 2024 #4 Nyampulukano Secondary school ipo Sengerema Mwanza.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 18, 2024 #5 Jinsia gani? Km ni Me bas ni Bwiru boys au Nsumba. Km ni ke bas ni Bwiru girls au Nganza.
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,208 Reaction score 2,352 Jul 13, 2024 #6 Ngoja waje.