Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Hizi gari nimeona nyingi zimebanduliwa J zimebaki uke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nunua haina shida shida spea na mafundiHabari,
Naomba kujua changamoto na sifa ya kumiliki gari aina ya Nissan Juke hasa toleo la 2010 mpaka 2013.
Ahsante..
Shukran kaka,Ni kidogo ndani. Kama una mwili mkubwa, hakitakufaa. Pia suspension zake ni ngumu (firm). Kama unapita rough road saana, utakichukia. Mwisho, ni zile zile common issues za magari ya Nissan
Ukibadili suspension in most cases utatengeneza magonjwa mengine. Kama umelipenda, jilipue tu. Utazoea kuishi nalo.Shukran kaka,
Nimeipenda sana hii gari, mambo kama Suspension naweza kubadili.
Hata interior pia haivutii with zero comfortability maana nyingi hazina leather seats.
Hilo la space clearance sio inshu maana sina mwili mkubwa..
Hapo kwny Kubadili suspension umemaanisha nini?Shukran kaka,
Nimeipenda sana hii gari, mambo kama Suspension naweza kubadili.
Hata interior pia haivutii with zero comfortability maana nyingi hazina leather seats.
Hilo la space clearance sio inshu maana sina mwili mkubwa..
Kivipi?Gari ya wageni mjini
Uwe na mwili mdg coz chenyewe ni kidg pia japo wanasema kwa rough road sio poa sanaHabari,
Naomba kujua changamoto na sifa ya kumiliki gari aina ya Nissan Juke hasa toleo la 2010 mpaka 2013.
Ahsante..
Ilikuwa zamani sio siku hizi. Nissan sio tishio tena.Nunua haina shida shida spea na mafundi