Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya Ualimu

Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya Ualimu

Joined
Dec 8, 2013
Posts
94
Reaction score
10
Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015.
Mbarikiwe
thumb.gif
:
 
Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015. Mbarikiwe 😛oa:
 
nenda kapate majibu kwa wizara husika yenyewe, hapa hutapata majibu, sana sana utadangaywa!.
 
Kwanza uwe na akili timamu,umri usiopungua miaka 21 na uwe raia wa Tz.
 
Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015.
Mbarikiwe
thumb.gif
:

Ngazi gani kiongozi??. Maana kuna certificate na diploma na sifa zinatofautiana.
 
Back
Top Bottom