B badian kinwiko Member Joined Dec 8, 2013 Posts 94 Reaction score 10 Apr 8, 2014 #1 Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015. Mbarikiwe :
Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015. Mbarikiwe :
SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,615 Reaction score 927 Apr 8, 2014 #2 division 2 au 3, four haikubaliki
B badian kinwiko Member Joined Dec 8, 2013 Posts 94 Reaction score 10 Apr 8, 2014 Thread starter #3 Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015. Mbarikiwe 😛oa:
Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015. Mbarikiwe 😛oa:
G gashambala uwezo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 485 Reaction score 67 Apr 9, 2014 #4 nenda kapate majibu kwa wizara husika yenyewe, hapa hutapata majibu, sana sana utadangaywa!.
B badian kinwiko Member Joined Dec 8, 2013 Posts 94 Reaction score 10 Apr 9, 2014 Thread starter #5 thanks
R Rafia Member Joined Nov 20, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Apr 9, 2014 #6 Kwanza uwe na akili timamu,umri usiopungua miaka 21 na uwe raia wa Tz.
B badian kinwiko Member Joined Dec 8, 2013 Posts 94 Reaction score 10 Apr 30, 2014 Thread starter #7 elimu
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,389 Reaction score 674 May 1, 2014 #8 badian kinwiko said: Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015. Mbarikiwe : Click to expand... Ngazi gani kiongozi??. Maana kuna certificate na diploma na sifa zinatofautiana.
badian kinwiko said: Ndugu zangu wanajamiiforum poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba kujua sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu mwaka 2014/2015. Mbarikiwe : Click to expand... Ngazi gani kiongozi??. Maana kuna certificate na diploma na sifa zinatofautiana.