malija
Member
- Apr 30, 2014
- 16
- 15
Wadau natumai ni wazima wa afya njema,naomba kufahamu stahiki anazotakiwa kulipwa mtu aliyefanyiwa" retrenchment" na bado ana mkataba.
======
kinaitishwa kikao cha wafanyakazi ili kuwapa taarifa au kunakuwa na notisi ya kimaandishi ikionesha lengo la kupunguza wafanyakazi na watatumia mbinu ipi ya kupunguza wafanyakazi itatumika wanatumiaga ile waliokaa muda mrefu ndio waondolewe au wale wapya waliokaa muda mchache ndio waondolewe
Lakini katika iyo notes inatakiwa kuambatanisha na sababu
Kifungu cha 44 kinaeleza stahiki za kulipwa ambazo ni
Mshahara wa siku ulizofanya kazi
likizo ya mwaka
likizo ambazo hukuwa kuchukua
malipo ya notisi
malipo ya kiinua mgongo
usafiri mfano uliajiriwa dar ukapelekwa mbeya unatakiwa kulipwa usafiri wa kurudi Dar
kanuni za ajira na mahusiano kazini mwaka 2007 kifungu cha 23 nacho kinaelezea utaratibu na stahiki ambazo kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini mwaka 2004 ambazo mfanyakazi anatakiwa kulipwa ila inatakiwa kupewa kipaumbele wale waliopunguzwa kurudishwa tena kazini ila kwa stahiki ni hizo hapo juu.
======
Tukianza na Sheria ya ajira na mahusiano kazini mwaka 2004 kifungu cha 38 ukitaka kupunguza wafanyakazi au mfanyakazi unatakiwa kufuata utaratibu ufuataoWadau natumai ni wazima wa afya njema,naomba kufahamu stahiki anazotakiwa kulipwa mtu aliyefanyiwa" retrenchment" na bado ana mkataba.