Naomba kujua Storage Rates za Magari Bandari

ComputersDAR

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
213
Reaction score
242
Habari zenu,

Naomba kufahamishwa storage rate (dollars per day) ya magari pale bandarini pamoja na ukokotoaji wake.

Nazungumzia gari ya ukubwa wa mid-size SUV kama Toyota Prado.

Natanguliza shukrani kwa majibu yenu.
 
storage rate ni dollar 1.5 kwa mita za ujazo (CBM) kwa siku, na huanza kutozwa baada ya siku 7. Toyota Prado ina max. CBM 16.939, so storage kwa siku itakua 1.5 x 16.939 = 25.408 plus VAT.
 
Asante sana kwa kujibu lako. Nadhani umemaliza kila kitu na itawasaidia hata wengine wenye kuhitaji info hii. Big up!!
 
Ukiagiza gari uwe umejipanga, hadi kufikia unakatwa hizo storage charges ina maana hukujipanga vyema ama umepata dharura kama kuumwa au kupata msiba.
 
Kuna custom bonded "warehouses" (kiuhalisia ni parking ya nje tu) zile zenye general license unaweza hifadhi huko kwa gharama nafuu kama dola 200 kwa mwezi kwa gari ya ukubwa wa Prado (saloon ni dola mia kwa mwezi). Unalipia shipping line, port charges, na clearing agent tu. Tra unawalipa kodi yao kwa muda wako.
 
Back
Top Bottom