ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
storage rate ni dollar 1.5 kwa mita za ujazo (CBM) kwa siku, na huanza kutozwa baada ya siku 7. Toyota Prado ina max. CBM 16.939, so storage kwa siku itakua 1.5 x 16.939 = 25.408 plus VAT.Habari zenu,
Naomba kufahamishwa storage rate (dollars per day) ya magari pale bandarini pamoja na ukokotoaji wake.
Nazungumzia gari ya ukubwa wa mid-size SUV kama Toyota Prado.
Natanguliza shukrani kwa majibu yenu.
Asante sana kwa kujibu lako. Nadhani umemaliza kila kitu na itawasaidia hata wengine wenye kuhitaji info hii. Big up!!storage rate ni dollar 1.5 kwa mita za ujazo (CBM) kwa siku, na huanza kutozwa baada ya siku 7. Toyota Prado ina max. CBM 16.939, so storage kwa siku itakua 1.5 x 16.939 = 25.408 plus VAT.
Nimejaribu ku download hadi ile tariff book ya bandari. Sikufanikiwa kuona hizo storage rates za magari.Google kwenye website ya bandari.
Pole mkuuNimejaribu ku download hadi ile tariff book ya bandari. Sikufanikiwa kuona hizo storage rates za magari.
Kuna custom bonded "warehouses" (kiuhalisia ni parking ya nje tu) zile zenye general license unaweza hifadhi huko kwa gharama nafuu kama dola 200 kwa mwezi kwa gari ya ukubwa wa Prado (saloon ni dola mia kwa mwezi). Unalipia shipping line, port charges, na clearing agent tu. Tra unawalipa kodi yao kwa muda wako.Ukiagiza gari uwe umejipanga, hadi kufikia unakatwa hizo storage charges ina maana hukujipanga vyema ama umepata dharura kama kuumwa au kupata msiba.