Naomba kujua story ya Chedi

Naomba kujua story ya Chedi

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Kuna kauzi kinamzungumzia bwana chedi ambaye kwa sasa ni marehemu alioa single mother, nilikuwa naomba kujua story ya huyu jamaa ili wengine tupate kujifunza
 
Hii habari mpya kwangu,huo uzi uko jukwaa lipi nikautafute
 
Huo uzi nimeuona na nilichangia kwa seat ya mbele kabisa,kumbe waliongelea habari za Chedi huko mbeleni
eeeh bana nimeogopa maana kuna kabibi kameniganda na mimba yake kasije niletea balaa mie
 
Back
Top Bottom