Hii habari mpya kwangu,huo uzi uko jukwaa lipi nikautafute
Kwa tuliowahi kuwa na mahusiano na single mothers, ni kauli zipi zilikuwa zinakuboa sana na kupelekea kuachana?Hii habari mpya kwangu,huo uzi uko jukwaa lipi nikautafute
Huo uzi nimeuona na nilichangia kwa seat ya mbele kabisa,kumbe waliongelea habari za Chedi huko mbeleni
tupe story hiyo mkuuUsioe single mother narudia tena usioe single mother,Chedi ni mfano tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe story ya chediUsioe single mother narudia tena usioe single mother,Chedi ni mfano tu.
Sent using Jamii Forums mobile app