Sinai JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 288 Reaction score 47 Jan 20, 2011 #1 Hivi huyu mtu aliyejulikana kwa jina la Mr. Nice kajichimbia wapi siku hizi? Maana hasikiki kabisa, au ndo zile nyimbo za watoto alizokuwa akiimba zimemwishia na hivyo hana ubavu wa kutunga mpya?
Hivi huyu mtu aliyejulikana kwa jina la Mr. Nice kajichimbia wapi siku hizi? Maana hasikiki kabisa, au ndo zile nyimbo za watoto alizokuwa akiimba zimemwishia na hivyo hana ubavu wa kutunga mpya?
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,407 Reaction score 3,260 Jan 20, 2011 #2 siku hizi ana bendi yake inatumbuiza pale masai club