Naomba kujua Tanzania hapa Kuna viwanda vya kusindika kuku?

Fel A

New Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari za wakati huu. Naomba kujua Tanzania hapa Kuna viwanda vya kusindika kuku?, msaada tafadhari.
 
Nilikoliona kimoja Arusha miaka 12 iliyo pita sijui kama bado wanasindika hadi Sasa.
 
Interchick Wana mabucha ya kuku Sinza na kwengine
Hill chicken pia Wana mabucha ya kuku maeneo ya mlimani na sehemu zingine za dsm

Hawa wote ni wafugaji wa kubwa wa kuku

Unaweza watembelea katika page au kurasa zao za mitandao ya kijamii au wapigie simu kwa ufafanuzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…