Naomba kujua taratibu za kufuata ili kuanzisha kituo kidogo cha matibabu ya meno

Naomba kujua taratibu za kufuata ili kuanzisha kituo kidogo cha matibabu ya meno

_nkuwi

Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
6
Reaction score
6
Habari zenu?

Ninaomba msaada wenu, hivi ni hatua zipi ninapaswa kuzifuata ili niweze kusajili na kufungua kituo kidogo cha kutoa matibabu ya meno?
 
Back
Top Bottom