Aisee kumbe bado sijui mambo ani huku pananizidi umriSiku hizi watu pia wanatumia GPU ku accelerate hio brute force, unaweza kuta Gpu moja ina core 1000 ama zaidi,
Mfano kama Unatumia Best Gpu kama Titan X inaweza kucrack hata password milioni 2 kwa sekunde...
Asante sana. Lakini IBM tayari wanayo quantum computer kwenye cloud. Sijajua kama hii ina capacity hiyo.Theoretically speaking unaweza pata private kutoka kwa public keys kwa ku reverse algorithms zake ( super complex math relationship/formula ) ie : RSA, ECC au DSA,
practically speaking, sahau...
Hii motherboard ya bitcoin ndo nimeisikia leo. Ngoja nitaicheki. Otherwise unaweza kunipa links. Na kwa computer generated private key yenye character 64 sidhani kama GPU acceleration inaweza kumudu. Au??Siku hizi watu pia wanatumia GPU ku accelerate hio brute force, unaweza kuta Gpu moja ina core 1000 ama zaidi,
Mfano kama Unatumia Best Gpu kama Titan X inaweza kucrack hata password milioni 2 kwa sekunde...
Asante. Classical computers zina uwezo wa kufanya collision cryptoanalysis? Ila kweli nimefurahi sana kwamba humu ndani kuna watu vichwa!Sha variations & md5 ni integrity algorithm ambazo zinagenerate kinachoitwa message digest ambazo ni one way...bruteforce does apply to them...only collision cryptoanalysis apply to those algorithm...
Umesema brute force apply to them au ulimaanisha DOES NOT APPLY TO THEM?Asante. Classical computers zina uwezo wa kufanya collision cryptoanalysis? Ila kweli nimefurahi sana kwamba humu ndani kuna watu vichwa!
Thanks. Do classical computers have an ability to decrypt a 64 characters (hexadecimal) private key? Na vipi kuhusu IBM cloud quantum computer?Sorry I meant does not apply to them...
Md5 n SHA-1 probably you can...tatzo linabaki pale pale kua it's a one way digest...so ht ukifanikiwa on collision attack still doesnt guarantee kua the plain text ndio yenyewe...Asante. Classical computers zina uwezo wa kufanya collision cryptoanalysis? Ila kweli nimefurahi sana kwamba humu ndani kuna watu vichwa!
Mkuu encryption ni ile hali ya kubadili data kwenda mfumo mwengine ili isiweze kusomwa na mtu ambae hizo data hazimhusu.Aisee kumbe bado sijui mambo ani huku pananizidi umri
Mkuu encryption ni ile hali ya kubadili data kwenda mfumo mwengine ili isiweze kusomwa na mtu ambae hizo data hazimhusu.
Mfano unachat na mchepuko wako bila encryption mitandao ya simu kama voda wanaweza wakaona unachat vipi, ila kunapowekwa hizo encryption kama Md5 ama zilizotajwa hapo juu bila key mtandao wa simu hawawezi kujua.
Kwa njia rahisi tunaweza fanya encryption rahisi tu kwa kubadili Herufi kuwa namba, A iwe moja B iwe 2, C 3 etc
Mfano naandika "Mambo vipi Crusade" itakuwa
13-1-13-2-15 22-9-16-9 3-18-21-19-1-4-5
Mtu akiona hayo manamba manamba hawezi elewa lakini ukimwambia key ni kubadili namba kwenda herufi ataelewa.
Sasa kwenye hizo ecryption kali kama hio sha 265 ambayo 2 kipeo cha 265 ni ma quadrillion ya possibilities hivyo inakuwa ngumu kutafsiri kwa computer ya kawaida hadi uwe na key.
...unapozungumzia public n private key algorithms unazungumzia certficates...so far no cracking attack that i recall that was succesfull against i...it's easy to try methods nyingine probably ukafanikiwa(Hack the machine which created that key pair) kuliko kupoteza muda kuicrack coz it's impossible. Ila I Stand to be corrected..Thanks. Do classical computers have an ability to decrypt a 64 characters (hexadecimal) private key? Na vipi kuhusu IBM cloud quantum computer?
Charachter 64 parefu sana mkuu,Hii motherboard ya bitcoin ndo nimeisikia leo. Ngoja nitaicheki. Otherwise unaweza kunipa links. Na kwa computer generated private key yenye character 64 sidhani kama GPU acceleration inaweza kumudu. Au??