Kileo seif
Member
- Apr 13, 2013
- 57
- 26
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteHakuna dawa ya kovu kwa wa kiume
Sema picha hazionekani vzur ni kovu ilo ndgusa unakovu gani hapo na ww mtoto wa kiume..unataka uwe kama lulu?
Nataka kulitoa kaka ilo kovuMbona ww mzuri tu mkuu usijiharibu
Tifah camera yangu so nzuri ndo mana hazionekani vzur bhana ni jeusi Sana bhanaHilo nalo ni kovu?Jamani jamani [emoji86] [emoji86]
AsanteJaribu SH Amon
Nilipataga ajali nikaumia katika shavu langu la kushoto nikawa na kidonda baada ya kupona pakabaki kovu jeusi halitaki kuftika naomba kwa anaejua dawa anifahamishe tafadhari
acha kuwaza uzuri we wa kiumeNilipataga ajali nikaumia katika shavu langu la kushoto nikawa na kidonda baada ya kupona pakabaki kovu jeusi halitaki kuftika naomba kwa anaejua dawa anifahamishe tafadhari
Na ww nae hilo ni kovu ss,au unataka uwe kama mtt TundaNilipataga ajali nikaumia katika shavu langu la kushoto nikawa na kidonda baada ya kupona pakabaki kovu jeusi halitaki kuftika naomba kwa anaejua dawa anifahamishe tafadhari