mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Watalaamu wa magari ya Toyota naomba kujua tofauti ya aina ya magari hayo toka ukubwa wa injini,ulaji wa mafuta,uwezo wa kubeba abiria,uimara wa gari na kadhalika pia bei yake kwa gari la 2009 mpaka 2014
Mkuu Bei HazifananiVingine vyote karibia vinafanana ila kwenye uimara na kutulia barabarani I opt vanguard
Mkuu Bei Hazifanani
Asante mkuu vipi appearance ya gari ndani na nje mkuu?
Mkuu Bei Hazifanani
Harrier tako la nyani na vanguard zote zinacheza 25M to 35... Kutegemeana na hali ya gari... Zile harrier za under 20 makinika nazo zina defects kibao zisizoonekana kwa haraka mpaka uwe mtaalam
Iyo 240 ni 30M mkuu mshana na unayosema wewe ya 24M ni 330 jinsi engine inavyozidi kupungua udogo ndivyo bei inakua kubwa
Harrier siti za nyuma hazina nafasi kubwa kiivyo za kuwaweka watu wazima wanne labda useme watoto ila sio watu wazima 4 watakaa kwa kujibana bana sanaHarrier mpango mzima....kwanza ndani iko spacious yaan ina nafasi kubwa hapo seat za nyuma unakaa kwa raha zote hata mkiwa watu 4.vanguard imejibana sana ndani..
Engine na fuel consumption vinafanana...
Harrier ni more confortable....
Hata mimi nilitaka kununua hiyo vanguard ila mwisho wa siku nikaabgukia kwenye harrier lexus full option..
Harrier siti za nyuma hazina nafasi kubwa kiivyo za kuwaweka watu wazima wanne labda useme watoto ila sio watu wazima 4 watakaa kwa kujibana bana sana
Vanguard si gari ya kitoto. Pamoja na kwamba engine yake ni sawa na za harrier/rav4, vanguard ni more poweful. Zaidi ni stability (utulivu) uwapo barabarani. Hadi 180km/hr unafika bila shida.. wakati harrier akifika 140 km/hr gari inaanza kumuacha.Harrier mpango mzima....kwanza ndani iko spacious yaan ina nafasi kubwa hapo seat za nyuma unakaa kwa raha zote hata mkiwa watu 4.vanguard imejibana sana ndani..
Engine na fuel consumption vinafanana...
Harrier ni more confortable....
Hata mimi nilitaka kununua hiyo vanguard ila mwisho wa siku nikaabgukia kwenye harrier lexus full option..
Mshana Jr yupo sahihi 240 unaweza kupata kwa 20M pampja na Old zote na zikiwa na 3000cc ni chini ya 10MIyo 240 ni 30M mkuu mshana na unayosema wewe ya 24M ni 330 jinsi engine inavyozidi kupungua udogo ndivyo bei inakua kubwa
Vanguard si gari ya kitoto. Pamoja na kwamba engine yake ni sawa na za harrier/rav4, vanguard ni more poweful. Zaidi ni stability (utulivu) uwapo barabarani. Hadi 180km/hr unafika bila shida.. wakati harrier akifika 140 km/hr gari inaanza kumuacha.
Vanguard kula sambamba na v8 ni kitu cha kawaida
Wewe umeacha lini kushabikia TAKO LA NYANI?Vingine vyote karibia vinafanana ila kwenye uimara na kutulia barabarani I opt vanguard
hasa usiku nimesafiri cku 1 toka dzm to moro nlpita ajali kama 2 za harrier tako la nyani nyang'anyan'gaIlishamwaga wengi highway. Baada ya kunogewa