Zote zina engine sawa ila nadhani gearbox na walivyozitune hazifanani. Napenda Vanguard zaidi. Vanguard ina space ya kutosha tu kama harrier (unlike rav4).
Bei, Vanguard itakuwa milioni 2-3 zaidi ya harrier katika matoleo mengi.
Stability, ningechagua vanguard