Bhoyi stanford
Member
- Aug 29, 2016
- 10
- 3
Wana JF!! Naomba kujua tofauti kati ya CVT engine na Automatic engine katika mode of engine transmission
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?Gari nilizoona Zina CVT ni mostly new models japo sio zote kama Toyota RACTIS, IST NEW MODEL
Japo Kuna aina 5 za transmission
1. Manual Transmission (MT)
2.Automated Manual Transmission (AM)
3.Continuously Variable Transmission (CVT)
4.Semi Automatic Transmission
5. Automatic Transmission
Maono ya wazalishaj wa magari na kufanya vzur sokon kwa transmission nyingine sokon zaid ya manual, kunapelekea mahitaj ya AT au CVT kua juu sokon.Kwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?
Gari zenye CC 1500 zimebakia kwenye rally Tu. Manufacturer wanatengeneza manual transmission kwenye hayo magariKwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?
Sidhan naomba nitofautiane na wewe mkuu. Europe na hizi brand zingine wanatoa sana tu sema toyota kwa vile ndio katushika inabid tu twende nae. Peugeot, Renault volvo honda anatoa sana ila ndio mtu unaogopa kupata tabu ya speaGari zenye CC 1500 zimebakia kwenye rally Tu. Manufacturer wanatengeneza manual transmission kwenye hayo magari
PureView yuko sawa kwenye hili. Gari manual zinapotea sokoni. Enzi hizo Automatic Transmtn zilikuwa option, ila kwa manufacturer wengi siku hizi ndio standard. Manual ni option. Wengine kama Mercs wamedrop kabisa manual transmtn kwenye baadhi ya models.Sidhan naomba nitofautiane na wewe mkuu. Europe na hizi brand zingine wanatoa sana tu sema toyota kwa vile ndio katushika inabid tu twende nae. Peugeot, Renault volvo honda anatoa sana ila ndio mtu unaogopa kupata tabu ya spea
Kuna engine ya CVT au umemaanisha gearbox ya CVT?Wana JF!! Naomba kujua tofauti kati ya CVT engine na Automatic engine katika mode of engine transmission
Za kazi gani sasa? Technology imekuwa gari ina control power transmission yenyewe, wewe unataka kuingilia huo mchakato, why my niga, why?Kwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?
Mkuu mimi si mtaalamu sana ila toka nimemiliki gari yenye gearbox ya CVT nimejitahidi kwa kadiri ninavyoweza nipate kuzielewa maana hizi gearbox zina matatizo mengi na gharama kuzimantain, ila ni cheap kwa manufacturer na kutokana na sheria kuwataka waongeze mileage per gallon use, CVT ina achieve hilo kwa kaisi cha 6-7% per galon.Wana JF!! Naomba kujua tofauti kati ya CVT engine na Automatic engine katika mode of engine transmission
Kwa utafiti wangu mdogo magari mengi ya AT ni kutokea Japan na yaliyotengenezwa kwa soko la Japan.Maono ya wazalishaj wa magari na kufanya vzur sokon kwa transmission nyingine sokon zaid ya manual, kunapelekea mahitaj ya AT au CVT kua juu sokon.
Mafundi wetu wengi ukiwapelekea gari lenye shida ya CVT, unaambia haitengenezeki. Nunua nyingine tu.Mkuu mimi si mtaalamu sana ila toka nimemiliki gari yenye gearbox ya CVT nimejitahidi kwa kadiri ninavyoweza nipate kuzielewa maana hizi gearbox zina matatizo mengi na gharama kuzimantain, ila ni cheap kwa manufacturer na kutokana na sheria kuwataka waongeze mileage per gallon use, CVT ina achieve hilo kwa kaisi cha 6-7% per galon.
Kwanza unapaswa kujua, gearbox ya kawaida iwe naual au automatic inakwua na meno ambayo yanazidiana ukubwa ili kutoa mzunguko tofauti wa matairi per engine rotation.
Lakini CVT haina meno hayo, yani CVT ni sawa ina gear moja tu. Lengo la CVT ni computer ya gari ina determine rpm bora ya engine kutokana na mazingira na uendeshaji wako halafu RPM hiyo inatumika kukupa speed tofauti za gari pasipo kuongeza rpm ya engine hiyo kama ilivyo kwenye gearbox za kawaida.
Yani in real sense unapokanyaga bati la kuongeza mafta kweney CVT si kwamba inaongeza rpm ya engine, bali ina determine kuwa unataka kuongeza speed na mkanda ulio ndani ya gearbox unahama. Ukiona mshale wa rpm unacheza kwa kupanda na kushuka ukapata feeling ya kubadilisha gear, jua ni fake programming kukupa tu feeling ya kwua gear zinabadilika ila si kweli hata kidogo. Na hii imeanza kufanyika walipoanza kuweka stepper motor kwenye gearbox za CVT maana watu walikwua wanachukia wasipopata hiyo deeling wanakuwa na hisia kuwa gari imenasa kweney gear moja. Kinachoamaua ni TCM ambayo kwa kutegemea taarifa kutoka kwa sensors na computer ya gari ndio inaamua mkanda uweje kwa wakati huo.
Bila hicho kwenye CVT gari inabidi ibaki kwenye rpm ile ile unapokanyaga pedal ya mafuta ila speed itaongezeka pasipo rpm kubadilika.
sasa inafaniksihaje hilo, ntajaribu baadae kukeleza kwa picha ila kwa sasa sina muda huo.
JE, CVT ni nzuri? Kwa kwakweli si nzuri zina majanga mengi ila ndio hivyo kwa manufacturers ni rahisi kutengeneza na wanalenga kukupa more mileage.
Mojawapo ya majanga ya CVT ni mkanda kutereza, sometimes gari kukobaki kwenye speed ileile, stepper motor kwua na shdia, TCM module kuzingua na majanga mengine kibao.
Na mbaya zaidi amfundi wengi hapa hawajui mambo haya. Nimepelekea fundi gari likwia na shida analiendesha anaonda mshale wa rpm unacheza ansema basi gearbox haina shida si unaona gear zinabadilika. Kauli yake hii inaonyesha kuwa hata hajui ile ni fake programmed feeling wala hakuna rpm inayobadilika.