IsaacMG
Member
- Dec 6, 2019
- 79
- 105
Hapo nimeweka Suzuki Escudo mbili sasa mimi sio mtaalam sana wa magari ila navutiwa sana na Suzuki hizi ila kulingana sifa zake za uimara ninazozikia kwa wanaozimiliki sasa nataka na mm nichukue Moja wapo je ipi ni model nzuri kati ya hiyo nyekundu au hiyo blue?
Naombeni ushauri wenu kwa wataalam wa hizi gari mbili kwenye picha.
Naombeni ushauri wenu kwa wataalam wa hizi gari mbili kwenye picha.